Desh Desh Lyrics by Lava Lava (English Translation)

Desh Desh Lyrics by Lava Lava
ad

Join Movie/Song Telegram Channel

Join Movie/Song Whatsapp Group

New music alert from Desh Desh Lyrics by Lava Lava audio, mp3

Tanzanian recording artist signed WCB Wasafi record label, Lava Lava is back with a new banger titled Desh Desh.

Worth adding to your music playlist.

DOWNLOAD HERE

Listen & Share

Lava Lava – Desh Desh Lyrics

Mola kammumba Hana Mfano WeeeMzuri wa Sura na Roho Na Njema Tabia Iyaaaa.
Unyagoni Kafundwa kwa makungwi somo weeeMahaba Kayajaza ndoo Yananimwagikia IyaaaaNatamani Nimtaje Hata Jina ila Naficha Naficha Naifanya siri yanguKina Fulani wale wakusigina mkaleta (mapicha)×2 akatoroka Ndege wanguSi mrefu si mufupi (ah eh)Si Mweupe Si Mweusi (ah eh)Rangi Yake ni ya katikatiKasema kwangu hafurukuti (ah eh)Kwengine Anaogopa Nuksi (ah eh)Mi ni wake milele Haniachi ndo maana
Nampenda Mpenda (nani)Kijana mmoja (nani)Amenifika Kwa rohoMakopakopa (kopa)Nampenda Mpenda (nani)Kijana mmoja (nani)Ila Kumtaja oooh naogopa ogopaKwa jina namuhifadhi
Desh Desh Desh Desh, Msije kuninyakuliaDesh Desh Desh Desh, Kipenzi changu JamaniDesh Desh Desh Desh, Mkaja kuniharibiaDesh Desh Desh, Penzi Likawa MashakaniNananaa! Nna NnaNananaaa! Nna Nna!Nananaa! Nna Nna!
Najua Najua Roho Zinawauma Hampendi Kuona Mwenzenu Na NawiriNajua mwenzenu najua Mwakesha Kujituma Kutwa kwa masangomaYangu KuyatabiriMlosema nimeachika Hainifiki mikosi Mola ndo mpajiNyongo Mtazitapika Mchomwe Jua la Utosi kesheni kunijajiMwenzenu kila kukicha kabla kupewa misosi Masaji masajiTunavyowakasirisha yani hata tukiposti hataki nimtagEnhee si mtu wamagazeti wala page za udaku ilo mkae mjuaHataki Taki EenheEnheee mambo yake siri nyeti poleni washakunaku wala msijisumbueKumsachi sachi
Nampenda Mpenda (nani) Kijana mmoja (nani)Kijana mmmoja (nani)Amenifika kwa roho Makopa kopa (kopa)Nampenda mpenda (nani)Kijana mmoja (nani)Ila kumtaja oooh naogopa ogopaKwa jina namuhifadhi
Desh Desh Desh DeshMsije kuninyakulia Desh Desh DeeeeshKipenzi changu jamaniDesh Desh Desh DeshMkaja KuniharibiaDesh desh DeshPenzi likawa mashakaniNananaa! Nna Nna!Nananaa! Nna Nna!Nanananaa! Nna! Nna!

Desh Desh Lyrics by Lava Lava (English Translation)

Lord Kammumba has no example
Beautiful in appearance and spirit and good character.
Unyagoni Kafudwa for makungwi somo weee
Love fills the bucket and pours on me
I wish I could even mention his name, but I hide it, I hide it, I make it my secret
At some point, those who brought me (pictures)×2 escaped my bird
Not tall not short (ah eh)
Not White Not Black (ah eh)
His color is medium
He told me he didn’t burn (ah eh)
Maybe He’s Afraid of Nuksi (ah eh)
I’m his forever, He’s not leaving me, that’s why
I love a lover (who)
one boy (who)
He has arrived in spirit
Makopakopa (kopa)
I love a lover (who)
one boy (who)
Except to mention him oooh I’m afraid, I’m afraid
By name I save him
Desh Desh Desh Desh, Don’t come and grab me
Desh Desh Desh Desh, My Favorite Man
Desh Desh Desh Desh, You came to spoil me
Desh Desh Desh, Love Became Doubt
Nana! Nna Nna
Nananaaa! Nna Nna!
Nana! Nna Nna!
I know, I know that the spirits hurt you, you don’t like to see your partner and Nawiri
I know your partner, I know Mwakesha is working hard all day long
My Foretelling
The one who says I’m divorced doesn’t reach me, the Lord is the giver
Galls You Will Vomit In The Burning Sun of Utosi, watch me
Your partner every bit before being given a massage
As we make them angry, even if we post, they don’t want to tag him
Enhee is not a newspaper or tabloid person, so stay tuned
He doesn’t want Taki Eenhe
Keep his sensitive matters confidential, please don’t bother yourself
Kumsachi sachi
I Love A Lover (who) One Boy (who)
one boy (who)
He has arrived in spirit Makopa kopa (kopa)
I love a lover (who)
one boy (who)
But to mention him, oooh, I’m afraid, I’m afraid
By name I save him
Dash Dash Dash Dash
Don’t come grab me Desh Desh Deeeesh
My favorite man
Dash Dash Dash Dash
You came to destroy me
Dash dash Dash
Love became doubt
Nana! Nna Nna!
Nana! Nna Nna!
Nananana! Nna! Nna!