Lyrics: Marioo – Naogopa Ft Harmonize

Marioo - Naogopa
ad

Join Movie/Song Telegram Channel

Join Movie/Song Whatsapp Group

New music alert from Marioo – Naogopa audio, mp3 lyrics

Naogopa song by m Ft Harmonize. Naturally gifted Tanzanian promising and ambitious record-maker, vocalist, and song composer Marioo.

Worth adding to your music playlist.

DOWNLOAD HERE

Listen & Share

Marioo – Naogopa Lyrics

Mmh hahahaYe yeMmmh aaah aahhhSounds by abbahaaa
Kwetu situnashereheMapenzi, sio makasiriko ah haaKwetu ni fuhara teleMaana mapenzi, sio makasiriko mmh mmh
Hata kama tukishindia tembeleOoh! My loveBaba mwenye nyumba kodi apige keleleOoh! My love
Hata kama tunapanda dala dalaMi nawe my loveEt chetu chumba kina mavyombo teleInahusu?
Wala sidhani kama hunipendiIla nawaza usipokuwepo ntaishije eehMwenzako najua kamaa unanipendaUmeniweka moyoniIla nawaza usipokuwepo ntaishijeNdo ninaogopa (aah)
Aah aah aaaah naogopaAah aah aaaah naogopaAah aah aaaah naogopaAah aah aaaah naogopa (yao yao)
Hivi hushangai napendwaIla sura bado inakosa nuruYani najiona sipo huruNapagawaa
Siku sinavyozidi kwendaNajiona kabisa nitakufuruMaana naishi ka-kunguruKutwa kuzificha mbawaa
Ridhiki yangu a papatu papatuMara nilipe vikoba upatuVipi ukija kutamani vya watuMimi si utaniacha
Ukiachilia mbali mashindaoWanaonizidi pesa muonekanoSi lazima nikutajie mifanoNiahidi kama utayaweza mapambano
Icho ndo kinanipa mawazaNikikupost biashara matangazoSintoweza kukuechungaMbele za wenye mipunga
Mmh mmmh mmmh baby (Abee)What can I do?Baby, I no go let you goAnd I want you more
Oh wooh wooh wooh baby (Abee)What can I do?Baby, I no go let you goAnd I want you more
Mwenzako oohAah aah aaaah naogopaKweli mwenzako naogopaAah aah aaaah naogopaBaisi kiota changu kiona choyo
Aah aah aaaah naogopaMaana wasije nichoma mkuki wa moyoAah aah aaaah naogopaNa na na na hi aahKonde boy call me number one BahkresaMimwenzako naogopa aahAah aah mmh mmh aaah (Tshi)